Niko Njia Panda..Mchumba Wangu Anayo kubwa sana....
TOKA KWA MSOMAJI WETU
Nimepata Mchumba japo simpendi sana anataka kunioa.tatizo lake ana uume mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.
Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana. Huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au ananichezea tu ila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazaz.
LOVE OPERA Doctor
U-ume ni kiungo kinachokuwa kulingana na ukuaji wa mtu na asili yake.....ni kama Kimo(urefu au ufupi wa mtu) huwezi kuupunguza wala kuongeza(Labda kwa Upasuaji).
Muhimu ni ninyi wawili kushirikiana zaidi kabla na wakati wa tendo. Yeye ajaribu kujizuia kwenda "mbali" sana ili asikuumize mwisho wa Uke. Na wewe kuwa mwepesi "kujirudisha" nyuma (kubinua kiuno kwa nyuma/chini) kila unapohisi anagota Mwisho.
Epuka baadhi ya Mikao unayojua unamfanya apante nafasi ya kwenda ndani zaidi na badala yake Tumia mikao na mitindo itakayo kusaidia wewe "kujirudisha nyuma".....Mako kama Kukaa....mtindo Kipepeo, Mkao kifo cha Mende....mtindo Mwanamke(wewe) juu, nakadhalika.
Pia mjitahidi kuridhishana zaidi bila kuingiliana na ikifikia mahali mnataka kuingiliana basi itachukua muda mfupi na hivyo kukuepushia Maumivu kwa muda mrefu.
Wekeza kwenye "Kilainisho atifisho" aka Gel, zipo za aina nyingi inategemea na Nchi au niseme mahali. Zipo za kuongeza msisimko na kupunguza Maumivu, zipo za kuchelewesha ili mwanamke afike, zipo za kuwahisha wanaume(wengi huzikimbia hizi) n.k.....chagua kulingana na mahitaji yako.
Kila la kheri.

No comments